Katika kitabu hiki, wafuasi wa Mnazareti wanahadithia historia halisi ya maisha ya Yesu wa Nazareti, inayojitenga kabisa na ufafanuzi wa tabaka la makasisi na ufafanuzi potovu wa wataalamu wa historia wanaoendelea kuandika, wanaotumikia kanisa au waliyoombwa na kanisa waandike vitabu kuhusu mada hiyo.
Kitabuni humo mmeandikwa sehemu mbali mbali za ufunuo wa Kristo wa Mungu uliotolewa kupitia Gabriele, nabii wake, ambamo Peke yake Anatoa maelezoa kuhusu maisha yake duniani kama Yesu wa Nazareti.
Sehemu: Wakati nilifikia umri wakuinukia, na nafsi yangu ilipotoka utotoni hadi ujana, Mungu akajifunua kupitia maono mengine (...) Kwa namna hiyo, nafsi yangu ikafunzwa upendo na rehema. Tayari ndani mwangu, mimi bado mtoto, mlikuwemo nguvu za kiroho ila kila mara nilikuwa nikizitumia vibaya. Mimi Yesu pia nilifunzwa kupitia makosa hayo. Sheria inasema: watu wote na nafsi zote zitaongozwa kupitia makosa na mapungufu yao hadi muda watakapoyatambua na kujirekebisha wao wenyewe.
By:
Gabriele Imprint: Gabriele Publishing House Dimensions:
Height: 178mm,
Width: 127mm,
Spine: 3mm
Weight: 54g ISBN:9783964462268 ISBN 10: 3964462268 Pages: 52 Publication Date:11 October 2021 Audience:
General/trade
,
ELT Advanced
Format:Paperback Publisher's Status: Active